CORRECT LYRICS

Lyrics : Raha

mmmh
Lalala mmmmh
Lalala (Ayolizer) mmmmh
Lalala mmmmh
Lalala mmmmh (Nusder)

Yaani kwa sauti, kasema deka, deka
Na mimi najiachia
Kanipa shuru la kumteka, teka
Silaha kanigawia

Mbezi, Kimara hunipeleka peleka
Mpaka mwisho hashuki, hashuki
Kiungo imara hunipenyeka penyeka
Kwa yangu vuma shuti, mashuti

Aaah kaniweka darasani, kunifundisha vizuri
Mengi hayajulikani yataka kuyakariri
Kanichorea ramani kopa lenye nyingi siri
Nyekundu nnje na ndani rangi yake zikifuriji

Raha, kupendwa raha (kupendwa raha)
Raha, jamani raha (Naona raha)
Raha, kupendwa raha (Kupendwa raha)
Raha, jamani raha

Eti niende msituni, zaralinge na mate pwi nikamroge
Abadan, abadan
Penzi lichanje mizaituni, kwaviringe na kuziki linoge
Abadan, abadan

Vineno vya kisirani
Kafumwa na mafulani
Mweupe mara kijani
Inawahusu nini?
Vipimo viso mizani
Kutwa kwenu midomoni
Vimewakaa vichwani
Mtumezee kwingine

Oooooh
Ndege ya asili ya kuga kufugwa hawezekani
Mithili akivuruga akaumbiwa kutamani
Ati natafuta mboga japo ata mali bandani
Enda tenzi sina woga atarejea ngamani

Raha, kupendwa raha (kupendwa raha)
Raha, jamani raha (Naona raha)
Raha, kupendwa raha (Kupendwa raha)
Raha, jamani raha

ah ah