SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Raha
by
Zuchu
Back
Lyrics
mmmh Lalala mmmmh Lalala (Ayolizer) mmmmh Lalala mmmmh Lalala mmmmh (Nusder) Yaani kwa sauti, kasema deka, deka Na mimi najiachia Kanipa shuru la kumteka, teka Silaha kanigawia Mbezi, Kimara hunipeleka peleka Mpaka mwisho hashuki, hashuki Kiungo imara hunipenyeka penyeka Kwa yangu vuma shuti, mashuti Aaah kaniweka darasani, kunifundisha vizuri Mengi hayajulikani yataka kuyakariri Kanichorea ramani kopa lenye nyingi siri Nyekundu nnje na ndani rangi yake zikifuriji Raha, kupendwa raha (kupendwa raha) Raha, jamani raha (Naona raha) Raha, kupendwa raha (Kupendwa raha) Raha, jamani raha Eti niende msituni, zaralinge na mate pwi nikamroge Abadan, abadan Penzi lichanje mizaituni, kwaviringe na kuziki linoge Abadan, abadan Vineno vya kisirani Kafumwa na mafulani Mweupe mara kijani Inawahusu nini? Vipimo viso mizani Kutwa kwenu midomoni Vimewakaa vichwani Mtumezee kwingine Oooooh Ndege ya asili ya kuga kufugwa hawezekani Mithili akivuruga akaumbiwa kutamani Ati natafuta mboga japo ata mali bandani Enda tenzi sina woga atarejea ngamani Raha, kupendwa raha (kupendwa raha) Raha, jamani raha (Naona raha) Raha, kupendwa raha (Kupendwa raha) Raha, jamani raha ah ah
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register