CORRECT LYRICS

Lyrics : Nisamehe

Kukuhin,i kusokwisha umeangukia pemani
Roho ya ni, dadarika, kashantoka shetwani
Nimeumbiwa makosa, mwanadamu na mimi
Moyo umekunja ndita, nikumiss jamani

Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti milika gari lako mwenyewe
Nikajiweka masharti nikajiona mi ndo mie
Kweli mbaya hali sina wema hakosi ye

Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe

Nisamehe

Chozi dibwi dibwi, nachanganyikiwa na vilio sishikiki
Niko magharibi lizamapo juu, wewe upo mashariki
Zawadi vipochi, vijisi vipipi, nazimiss chocolate
Nimekwama there nilivyonyongea huba zako sizipati

Tabibu, kunikomesha umepata toto la Kitanga
Sababu, umeichoka jeuri yangu ya Kipemba
Lile gugu, limeniisha kabisa beiby hali nanga
Aibu, wananicheka wajinga rudi nakuomba

Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti milika gari lako mwenyewe
Nikajiweka masharti nikajiona mi ndo mie
Kweli mbaya hali sina wema hakosi ye

Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe

Nisamehe


Nikikaa nawaza nimwingie kwa style gani?
Nimlilie aseme nami mbaya, kasahau tisheti nyumbani
Nashindwa kujizuia, uvumilivu unanishinda kwanini?
Nikimpigia kusudi zake, Akipokea 'Ati Hello' wewe nani?

Iiiiii, namba kakupa nani?
Iiiiii, mara aah we kumbe wewe unafanya issue gani
Mi msanii, anajua ina maana hanioni kwenye TV
Ah ai wewe, ah aiii wewe