SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Nisamehe
by
Zuchu
Back
Lyrics
Kukuhin,i kusokwisha umeangukia pemani Roho ya ni, dadarika, kashantoka shetwani Nimeumbiwa makosa, mwanadamu na mimi Moyo umekunja ndita, nikumiss jamani Ngumu safari ilifanya njiani ushukie Ukakosa siti milika gari lako mwenyewe Nikajiweka masharti nikajiona mi ndo mie Kweli mbaya hali sina wema hakosi ye Nisamehe Nisamehe Nisamehe Nisamehe Chozi dibwi dibwi, nachanganyikiwa na vilio sishikiki Niko magharibi lizamapo juu, wewe upo mashariki Zawadi vipochi, vijisi vipipi, nazimiss chocolate Nimekwama there nilivyonyongea huba zako sizipati Tabibu, kunikomesha umepata toto la Kitanga Sababu, umeichoka jeuri yangu ya Kipemba Lile gugu, limeniisha kabisa beiby hali nanga Aibu, wananicheka wajinga rudi nakuomba Ngumu safari ilifanya njiani ushukie Ukakosa siti milika gari lako mwenyewe Nikajiweka masharti nikajiona mi ndo mie Kweli mbaya hali sina wema hakosi ye Nisamehe Nisamehe Nisamehe Nisamehe Nikikaa nawaza nimwingie kwa style gani? Nimlilie aseme nami mbaya, kasahau tisheti nyumbani Nashindwa kujizuia, uvumilivu unanishinda kwanini? Nikimpigia kusudi zake, Akipokea 'Ati Hello' wewe nani? Iiiiii, namba kakupa nani? Iiiiii, mara aah we kumbe wewe unafanya issue gani Mi msanii, anajua ina maana hanioni kwenye TV Ah ai wewe, ah aiii wewe
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register