CORRIGER LES PAROLES

Paroles : Thao

Go atrangi makata, chura abaki
Heri uwenki na toto uko wiki
Mteke wiki gizani mpige miti
T**it**i picky?t**i?t**i t**i
Pinji linki?mitini kingikingi
Zigi zigi mitini mingi mini
Piki?piki piki pikipongi
Cheki doggy kashorty piga quickie

Chain ori ori, niko kori kori
Mfuko pori pori ndo nimejaza kama kori
Ameshika kutu si anakaa fori fori
Shika tori tori, chezea doli doli
Teka msupa ana mabuibui
Unastuka nimekuteka na hunijui jui
Unataka stingo fulani za magui gui
Ka una swara kuja area nina chui chui ah
(Inauma but itabidi uzoee)

Nasema dam digidigi mi ni team weekendi
Kam hivi hivi tujikill videadly
Sema dam digidigi mi ni team weekendi
Kam hivi hivi tujikill videadly
Cheki, si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao

Nakata waba ni-nijifry liver
Ju sijamanga mi ni kuririma
Nikiiva mali, nikiririma
Na balaa sina ngale, piga diva dimba
Kitambi ya barley, jo makeki hujipa
Wakidhani nina mali na sita sitasita
Nina makagare, izame futi sita
Akivua dungaree
Kitanker
Keg hadi cham nakunywaa
Ni tam tam, cheki have some kunyuwaa
Kahanjam kakikam mi nakiuwaa
Pongi small kama shimo ya mapua

Odi wa Murang'a wanadai niwe wao
Madem wao nawanyoroshea kwanza kwao
Ikus zao ni misitu tu ka za Mau
Na jegi zao zimesag kama toja zao
Na hivi ndo mi huingia statoe na kajaba
Na hivi ndo mi hucheza longo na wamatha
Shosho mang'uru anadai sijui kawada
Na zake zimeshika ashameza kajaba

Nasema dam digidigi mi ni team weekendi
Kam hivi hivi tujikill videadly
Sema dam digidigi mi ni team weekendi
Kam hivi hivi tujikill videadly
Cheki, si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao

Cheki ananibore kwanza za kitore
Alafu ananingorea kwanza za king'ore
Msupa utanichorea nikikupiga ngotea
Alafu utaninyorea nikikupiga ndiole
Nikikupiga ndiole, nikikupiga ndiole
Msupa utaninyorea nikikupiga ndiole
Nikikupiga ndiole, msupa utaninyorea
Msupa utaninyorea nikikupiga ndiole

Maddox, cheki tu mahaga mi nadai kuzikemba
Mi nina kiforo kia chwani na spedi ka cheda
Vuta tu makoro na uitishe tu bartender
Wachana na hizo haga ushajua ushapenda
Parachichi sidai para ya Chichi
Nikitichi msupa adai miti
T**i t**i, chikichiki
Mbleina apigwe pinji kama dingo akule minji aah
Gwiji gwiji mchezo wa anasa, ama jigi jigi aah

Nasema dam digidigi mi ni team weekendi
Kam hivi hivi tujikill videadly
Sema dam digidigi mi ni team weekendi
Kam hivi hivi tujikill videadly
Cheki, si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao