CORRIGER LES PAROLES

Paroles : COVID (BIG MAN BADO ODINARE)

Kani ka bundle
Ngoja top up, ngoja ni cram
Me udai nakula vako
Ambapo za kwako
Ambapo za kwako
Na bonga na fanto
Me ubonga ka sijiski
Keki na ngwai na kula vako

Katika dunda intentionally
Hadi kwa nyumba ni ghetto ndani
Na tuta skuma si stationary
Na ina shtua si odinare

Katika dunda intentionally
Hadi kwa nyumba ni ghetto ndani
Na tuta skuma si stationary
Na ina shtua si ordinary

Si ukata kata maji Monday
Staga ku staga hadi Thursday
Dhambi na tubu tubu Sunday
Maisha ka tu casino

Si ukata kata maji Monday
Staga ku staga hadi Thursday
Dhambi na tubu tubu Sunday
Maisha ka tu casino

Siendangi ma party
Siendangi ju bana mi muhadhara
Mahari ni bale
Ka toto na pewa ame cha cha cha
Tayari afande
Ka ata sija pata una takanga
Na skuma na madre
Mabangi makali nachanganya
Eeh baki ni gande
Baki una gandwa barabara
Staki ni hate
 Staki marapper wasi come hapa
Ata maganje hawana bana hujifanya
Mi bana hatare
Napata lipua ka murderer (murderer)

Si ukata kata maji Monday
Staga ku staga hadi Thursday
Dhambi na tubu tubu Sunday
Maisha ka tu casino

Si ukata kata maji Monday
Staga ku staga hadi Thursday
Dhambi na tubu tubu Sunday
Maisha ka tu casino

Monday, Thursday, Sunday

Si ukata kata maji Monday
Staga ku staga hadi Thursday
Dhambi na tubu tubu Sunday
Maisha ka tu casino

Si ukata kata maji Monday
Staga ku staga hadi Thursday
Dhambi na tubu tubu Sunday
Maisha ka tu casino