AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Thao
par
Ethic Entertainment
Retour
Paroles
Go atrangi makata, chura abaki Heri uwenki na toto uko wiki Mteke wiki gizani mpige miti T**it**i picky?t**i?t**i t**i Pinji linki?mitini kingikingi Zigi zigi mitini mingi mini Piki?piki piki pikipongi Cheki doggy kashorty piga quickie Chain ori ori, niko kori kori Mfuko pori pori ndo nimejaza kama kori Ameshika kutu si anakaa fori fori Shika tori tori, chezea doli doli Teka msupa ana mabuibui Unastuka nimekuteka na hunijui jui Unataka stingo fulani za magui gui Ka una swara kuja area nina chui chui ah (Inauma but itabidi uzoee) Nasema dam digidigi mi ni team weekendi Kam hivi hivi tujikill videadly Sema dam digidigi mi ni team weekendi Kam hivi hivi tujikill videadly Cheki, si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Nakata waba ni-nijifry liver Ju sijamanga mi ni kuririma Nikiiva mali, nikiririma Na balaa sina ngale, piga diva dimba Kitambi ya barley, jo makeki hujipa Wakidhani nina mali na sita sitasita Nina makagare, izame futi sita Akivua dungaree Kitanker Keg hadi cham nakunywaa Ni tam tam, cheki have some kunyuwaa Kahanjam kakikam mi nakiuwaa Pongi small kama shimo ya mapua Odi wa Murang'a wanadai niwe wao Madem wao nawanyoroshea kwanza kwao Ikus zao ni misitu tu ka za Mau Na jegi zao zimesag kama toja zao Na hivi ndo mi huingia statoe na kajaba Na hivi ndo mi hucheza longo na wamatha Shosho mang'uru anadai sijui kawada Na zake zimeshika ashameza kajaba Nasema dam digidigi mi ni team weekendi Kam hivi hivi tujikill videadly Sema dam digidigi mi ni team weekendi Kam hivi hivi tujikill videadly Cheki, si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Cheki ananibore kwanza za kitore Alafu ananingorea kwanza za king'ore Msupa utanichorea nikikupiga ngotea Alafu utaninyorea nikikupiga ndiole Nikikupiga ndiole, nikikupiga ndiole Msupa utaninyorea nikikupiga ndiole Nikikupiga ndiole, msupa utaninyorea Msupa utaninyorea nikikupiga ndiole Maddox, cheki tu mahaga mi nadai kuzikemba Mi nina kiforo kia chwani na spedi ka cheda Vuta tu makoro na uitishe tu bartender Wachana na hizo haga ushajua ushapenda Parachichi sidai para ya Chichi Nikitichi msupa adai miti T**i t**i, chikichiki Mbleina apigwe pinji kama dingo akule minji aah Gwiji gwiji mchezo wa anasa, ama jigi jigi aah Nasema dam digidigi mi ni team weekendi Kam hivi hivi tujikill videadly Sema dam digidigi mi ni team weekendi Kam hivi hivi tujikill videadly Cheki, si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire