CORRIGER LES PAROLES

Paroles : Figa

Motif di don

Kwanza vile umejibebanga
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Tako venye we huichezanga
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Figa fire yaani dangerous
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Fanya nafeel kama veteran
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Ah, mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)

Ringi ndani ya goro
Alafu akuwe solo
Kwanza akiwa momo
Buda namchongoa
Macho zako ndogo chongo
Lamba mboko mpaka usogo
Dem akiwa campo anastone proper
Alafu akiwa vajo anadondosa
Pale down town ana dondosa
Pale down, pale down, kudondosa

Kwanza vile umejibebanga
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Tako venye we huichezanga
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Figa fire yaani dangerous
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Fanya nafeel kama veteran
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Ah, mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)

Niko kidali hiyo shamba ntachuna mboga
Lejo jaza kwa chupa ya Johnnie Walker
Mi natakia mayeng' huna rieng'
Nazichuna kama Matiang'i
Ni kunyanda upigwe mboka
Kukumanga kwa tools zangu za mogoka
Hakuna panya, so paka atakula nyoka
Kwa kichaka, kitanda niko na sofa
Chapa chapa ukichapa naachia bro man

Kwanza vile umejibebanga
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Tako venye we huichezanga
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Figa fire yaani dangerous
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Fanya nafeel kama veteran
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Ah, mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)

Kwa mbulu, looku, washa kindukulu
Come tu kejani nikupige ma viboko
Pale Instagram tunachachisha na kimboto
Vile nawatesa mi napenda mangoko
Mangoto, malocal
Ziko kwa mbosho, orosho
Madiva zimebude na ni koro
Kulamba mororo, fika ndono juu ya koto
Vurugu kukaba kwa kina mahuru

Kwanza vile umejibebanga
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Tako venye we huichezanga
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Figa fire yaani dangerous
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Fanya nafeel kama veteran
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napenda
Ah, mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)

Mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)
Mi hupenda napenda (penda)