SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Kwaru
by
Zuchu
Back
Lyrics
Mmmh aaah aah, mmmh aaah Aaaah, aah Roho ingekuwa na macho ungejionea Moyo haufanyi kificho ukiotea Mimi kifigiso nacho ungeongea Mwili wangu rojorojo nanyong'onyea Chungu nilichopika wamepakua wenzangu Huruma napokutishwa wamechukua wezangu Na kitabu chetu cha mapenzi, kurasa wamechanachana Hazisomeki tena tenzi, vimepoteza maana Mpofu moyo wangu, ulishindwa ona Hukuandikwa wa kwangu limenikaba nalitema Kwaru kwa kwaru kwaru Kachukua kisu ye anaukwarua Kwaru kwa kwaru kwaru Moyo wangu unaumia Kwaru kwa kwaru kwaru Ye kwa nguvu anaukwarua Kwaru kwa kwaru kwaru Jamani moyo wangu unaumia Eh langu tatizo Nachuna najimaliza Mi nakesha kumwaza Naweweseka lake jina, ooh jina Oh basi kwa unyonge najikaza niache kulia Maana kwake bahati sina, ooh sina Maumivu ameipora furaha yangu Oooh amekwenda nayo Na zangu mbivu zimeniozea Hasara kwangu, oooh yatapita hayo Mpofu moyo wangu, ulishindwa ona Hukuandikwa wa kwangu limenikaba nalitema Kwaru kwa kwaru kwaru Kachukua kisu ye anaukwarua Kwaru kwa kwaru kwaru Moyo wangu unaumia Kwaru kwa kwaru kwaru Ye kwa nguvu anaukwarua Kwaru kwa kwaru kwaru Jamani moyo wangu unaumia
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register