CORRECT LYRICS

Lyrics : SHIKISHA

Rvssian

Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Ndo mtindo si hu-do
Ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Ndo mtindo si hu-do
Ndo mtindo si hu-do

Ati
Mtukutu mtoa kutu kwenye luku na si butu
Buruburu mtaani, mistari mistari
Kula jaba kila saa, taxin imejaa
Meru ndogo ndo mtaa, Dogo Dogo ndio base
Digi Digi ndio clan, mi napenda digitale
Na ma-tools ziko ndani zimetoka huko Kwaree
Na wapoa ni walami wana-dance tu vi-funny
Juu hii traki joh ni kali (Kali kali)

Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Ndo mtindo si hu-do
Ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Ndo mtindo si hu-do
Ndo mtindo si hu-do
Ai
Shikisha na jaba kando kushman
Alafu manzi ama FIFA ndo utaguza
Bado circle winners nyi' ni losers
Walai Wajakoyah akiingia tunaunguza
Bado shash ni nyingi tunapurura
Alafu huko kando ni wapoa na masura
Bu-bu-buda life ni fiti shika surba
Na kama ni kuwaka tunawaka ndani ya nyumba
Ai

Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do
Kushikisha ndo mtindo si hu-do