CORRECT LYRICS

Lyrics : Amabako

Mwaga maji tucheze kama kambale
Leo ni Vanny Boy
Yupo na mtoto wa Tandale

(Its S2kizzy Beiby)
(Wasafi)

Amaboko, eeh amaboko
Amaguru, eeh amaguru
Amaboko, eeh amaboko
Amaguru, eeh amaguru



(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

Totori toto, to
Totori toto, to
Totori toto, to
Totori toto, to

Watoto wa bibi wanacheza kote
Mpaka kwenye matope
Wanavua wiggy
Kama wamegombana na Ebitoke

Fanya kama unadukua, Twende sasa!
Unanengua, Twende sasa!
Unapika napakua, Twende sasa!



(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

Chukua, Twende sasa!
Nasema popo popo, tunakesha popo
Leta chupa kwa chupa na moshi tulewe, tunakesha popo
Nasema popo popo, tunakesha popo
Shika pesa tusepe silali mwenyewe

Anasasambua, kalewa
Anakibinua, kalewa lewa
Anajichetua, kalewa
Aiyayayaya, kalewa lewa

Amaboko, eeh amaboko
Amaguru, eeh amaguru
Amaboko, eeh amaboko
Amaguru, eeh amaguru (Aaah basi)

Totori toto, to
Totori toto, to
Totori toto, to
Totori toto, to

Asa baby show, show alichokupa mama
Baby ko, komesha usijali lawama
Anaspeedi pidi, Di!
Mwendo vujijiji, Ji!
Katoto gwiji gwiji, Ji!
Eeh venye nyomi, kijiji
Manyoni tigigi
Twende mpaka morning ikibidi
Nizame shimoni, kimbiji

Eeh katoto kana papara (Para)
Kupigwa nyembe kipara (Para)
Namvutaga masigara
Raaa-rara

Nasema popo popo, tunakesha popo
Tembe za chaukucha na Mondi tulewe, tunakesha popo
Nasema popo popo, tunakesha popo
Kama kigoma vuta usilale mwenyewe, tunakesha popo

Aiyeye, kimempanda
Ooh kidaruso, kimempanda
Kaisha leo, kimempanda
Nasomba kama fuso, kimempanda
(Humo humo)

Amaboko, eeh amaboko
Amaguru, eeh amaguru
Amaboko, eeh amaboko
Amaguru, eeh amaguru (Aaah basi)
Totori toto, to
Totori toto, to
Totori toto, to
Totori toto, to

Mwaga maji tucheze kama kambale
Leo ni Vanny Boy
Yupo na mtoto wa Tandale
Mwaga maji tucheze kama kambale
Leo ni Vanny Boy
Yupo na mtoto wa Tandale

Sa chezesha kileso, Kileso!
Ah kileso kileso, Kileso!
Saa zungusha kileso, kileso
Eeh kileso kileso, Kileso!

Aga ka unakibana kwa kwapa, Kileso!
Kilete kwa hapa, Kileso!
Kama unarusha natapaa, Kileso!
Ehee, swadakta, Kileso!