CORRECT LYRICS

Lyrics : Humo

Uuh yeeh
Mmh mh mmh
(Darkie nation baby)
Nah na na naa na......

Angelina eeh
Hata kama ukilewa usinimwage
Nina balaa nkipewa najinadi nimepata
Ila wee wani shangaza
Tell me your baah (your body baby)
We ni nomaa (noma wewe)
Leo nipo na wewe sio unipe tarehe
Kisauti flani unanipa melody
Sifanyi utani ukinipa na body
Pale nyumbani usinifanye botion
Gimme more gimme more Kwenye motion yeeh

Hatuwekani foleni
Wakijaga ni polee
Wakiacha nipo ready
Don't west your time nao ooh

Hatuwekani foleni
Wakijaga ni polee
Wakiacha nipo ready
Don't west your time nao ooh