AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Wale Wale
par
Lava Lava
Retour
Paroles
Naumwa nina maradhi Nipelekeni hospitalini Mwenzenu naumwa moyo umekufa ganzi Nimechoka kunywa quinini Nahisi ukichaa Nusu tahira uchizi Naona kinyamazongo Niliyavagaa rambi nikaipiga mbizi Ikanipasua ubongo (Ubongo) Angeniambia basi, tungeachana kizungu Ningempa nafasi, kuliko kutupanga mafungu Nisinge gasi, japo ni ngumu machungu Chanya na hasi, yote napanganga Mungu Kibatari kazidisha tambi, penzi limelipuka Ye anacheat haogopi dhambi, anaruka ruka Moyo kaupiga bambi, umeshateuka Popote anaweka kambi, kutwa nachepuka Yaani ndo wale wale Wanaokujaga na tafadhali nakupenda (Wale wale) Wakimaliza shida zao wanakwenda (Ndo wale wale) Ati ooh nilipotoka nilitendwa (Wale wale) Kumbe ni waongo, waongo Oooh nenda mwambie Mapenzi hayana jangili yanaumiza Tena mwambie Kuna walo matajiri washalizwa Usimfiche mwambie Mapenzi hayana utabiri si miujiza Fanya mwambie Mimi si wa kwanza kuumizwa Yaliwatesa vikongwe Tulisoma vitabuni Nami amenipa mazonge Najikaza kisabuni Sawa mimi ni mnyonge Damu yangu ya kunguni Mi fungu la tatu ikibonda Mwezangu lake love me Angeniambia basi, tungeachana kizungu Ningempa nafasi, kuliko kutupanga mafungu Nisinge gasi, japo ni ngumu machungu Chanya na hasi, yote napanganga Mungu Kibatari kazidisha tambi, penzi limelipuka Ye anacheat haogopi dhambi, anaruka ruka Moyo kaupiga bambi, umeshateuka Popote anaweka kambi, kutwa nachepuka Yaani ndo wale wale Wanaokujaga na tafadhali nakupenda (Wale wale) Wakimaliza shida zao wanakwenda (Ndo wale wale) Ati ooh nilipotoka nilitendwa (Wale wale) Kumbe ni waongo, waongo Mwache afanye anachotaka (Hanikomoi, wala hanikomoi) Sishtuki hata (Hanikomoi, wala hanikomoi) Sina hofu sina mashaka (Hanikomoi, wala hanikomoi) Bure anatapa tapa (Hanikomoi, wala hanikomoi) (The Mix Killer)
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire