AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Staga Nikimedi
par
Ethic Entertainment
Retour
Paroles
Waiter ova ma-ova Guza mkoba ma-ova Guza nka una cha gova Nitaendea ova kwa gova Ambapo anapendanga madeni Ka ni kukata anakatanga ma-henny henny Staga nastaga nikimedi medi Staga nastaga nikimedi medi Mi ujali ganji na ladies Mi ujali money so nataka many many Staga nastaga nikimedi medi Staga nastaga nikimedi medi Ati staga nastaga nikimedi Juu ya maji umededi ama tu umebleki Na umenoki Wendy ama pia na Becky, sawa Ngoja nianze kukata keki, nawa We ni ka kabambe ju jo hauna class Mi niko na money nipate kwa bar Cheki ni funny umevaa kama fyat Fyatu Mathare baadae ni fun Hii wikendi naskia kukata ka keki Naskia kukata bado henny Pime peddy round moja aniseti Piri we mrazi pigwa ting' ting' Ye ni diva na anakatika na chupi Ringi keroma haweki chumvi Zikishika mi nawashanga ki hoodi Ringi Keroma haweki chumvi Ambapo anapendanga madeni Ka ni kukata anakatanga ma-henny henny Staga nastaga nikimedi medi Staga nastaga nikimedi medi Mi ujali ganji na ladies Mi ujali money so nataka many many Staga nastaga nikimedi medi Staga nastaga nikimedi medi Penda, mi napenda vile baze tu ubweka Nipe chingri tujilipue tena Na kiPipu tutachafua tena Kenya na Pipu Doni pewa Ka we unatoka Kariakor Medi seti twendee form Chain madancey ndo ati mtaa Hii ndo base tu sing along Ambapo anapendanga madeni Ka ni kukata anakatanga ma-henny henny Staga nastaga nikimedi medi Staga nastaga nikimedi medi Mi ujali ganji na ladies Mi ujali money so nataka many many Staga nastaga nikimedi medi Staga nastaga nikimedi medi Waiter ova maova Guza mkoba maova Guza nka una cha gova Nitaendea ova kwa gova Ati avocado kwa dibre Avocado kwa gith Avocado kwa mixer Avocado kwa jing Avocado after gym Avocado za green Avocado kwa meal Before meal, after meal Ambapo anapendanga madeni Ka ni kukata anakatanga ma-henny henny Staga nastaga nikimedi medi Staga nastaga nikimedi medi Mi ujali ganji na ladies Mi ujali money so nataka many many Staga nastaga nikimedi medi Staga nastaga nikimedi medi Ambapo anapendanga madeni Ka ni kukata anakatanga ma-henny henny Staga nastaga nikimedi medi Staga nastaga nikimedi medi Mi ujali ganji na ladies Mi ujali money so nataka many many Staga nastaga nikimedi medi Staga nastaga nikimedi medi Avocado kwa dibre Avocado kwa gheede Ati avocado kwa mixer Avocado kwa jing Avocado after gym Avocado za green Avocado kwa meal Before meal, after meal
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire