AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Saba
par
Ethic Entertainment
Retour
Paroles
Wagwan? Kufisia alama jo kama mbeibe amebeba Shika mkono ufikishe mpaka kwa keja Kuta vitu mpaka jirani akateta Wape wape wape wape? Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize Wape wape wape wape? Basi mbeibe Nipe saba ukiinama Saba ukiinama Saba ukiinama saba ukiinama Nipe saba ukiinama saba ukiinama Saba ukiinama Saba ukiinama SWAT;Verse 1 Nikimdigi fiti nacheki jo amebeba Niko macho kwake niko ma handas ketepa\ Chapanisha kuni ibaki mebeide amesepa Ni madiva tu n aka we dimanga pereka Hakuna kushare jo fisi akika ngorea Top layer alaa a man a gyalis sorea On air balance na ureverse orea Leo lazma katambe, orea orea Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize Wape wape wape wape? Basi mbeibe Nipe saba ukiinama Saba ukiinama Saba ukiinama saba ukiinama Nipe saba ukiinama saba ukiinama Saba ukiinama Saba ukiinamaSaba ukiinama , saba ukiinama ZILLA;Verse 2 Cheki niko maji zimeshika juu wadhi Dunda ni kudunda tunadunda mpaka di Shika manzi fiti akikubali jo unaplead Kama ni kumdigi ni kumdigi juu ya meza Cheki na kamsupa kama ngwati nakata Daily ni kusele ata mambanga kwa nganya Msupa aki downtown akichochwa anapanada Anasmama anarombosa kiuno haga kuwamurder Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize Wape wape wape wape? Basi mbeibe Nipe saba ukiinama Saba ukiinama Saba ukiinama saba ukiinama Nipe saba ukiinama saba ukiinama Saba ukiinama Saba ukiinama SESKA;Verse 3 Ukiinama niko dryspell miezi kadhaa Umejaza nyuma kama taxin ya wariaa Kutu imejaa na siezi fika bei ya Samantha Pia ukikaza mi nta ora ntadandia Mi Natasha kina Flora na Maria Ukirombosa mi na kosa Amani ? aaa Na kuna number ukichora ntapandia Na kuta haraka hakuna doz na kwamilia Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize Wape wape wape wape? Basi mbeibe Nipe saba ukiinama Saba ukiinama Saba ukiinama saba ukiinama Nipe saba ukiinama saba ukiinama Saba ukiinama Saba ukiinama
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire