AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Hakuna kulala
par
Black
Retour
Paroles
Lala Lala Lala Lala Lala Lala Lala Lala Lala Lala Mmhhh! Mmhhh! Namvuta Faraghani Tumo Tumo Ndani Namtazama Simuishi Namkanda Mambavuni Kayainua Majeshi Vita Nichague Mimi Aanze Bangladesh Amalizie Sudan Twanozana Hatosheki Kaniweka Kifuani Hatingishiki Haruki Yuu Hoi Wa Taabani Nampa Na Vya Kurithi Na Mizungu Ya Kigeni Hakuna Kulala (Eeeh Eh!) Hakuna Kulala (Lala Lala Lala) Hakuna Kulala Asubuhi Itukute Hakuna Kulala (Mi Na Weewe!) Hakuna Kulala Hakuna Kulala Na Machweo Yatukute Mmmhh! Siwezi Kuficha Hisia Maradhi Yataniumbua Mizimu Inayonijua Kanila Kanimalizia Mbora Katimiliki Kwa pasi Za Resiresi Hapitagi Njia Fupi Shortcut Ye za Nini? Nampa Na Vya Kurithi Na Mizungu Ya Kigeni Hakuna Kulala Hakuna Kulala Hakuna Kulala Asubuhi Itukute Hakuna Kulala Hakuna Kulala Hakuna Kulala Na Machweo Yatukute Laaaadha Yaaaako Laaadha Yako Ladha Yako Ni Taam Nitam Nitam Nitam Sana
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire