ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Kongoro
par
Nandy
Regreso
Letra
Umepoteza usikivuu haunisikizi tenaa Nani kakuaribu mbona gafla kulizanaa Wanuna bila sababu waniona me mtwanaa Ukiwa nami wajifanya bubu kutesanaa Mapenzi hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mazao yameungua My baby, hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mmazao yameungua Heri imogizani (nitabaki kongoro) Sioni sababu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo unilizee (nitabaki kongoro) Sioni sababuu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo uniuliziee Eeeheeh, looohoh, eeeh... Upendo wa dhati unaning'inia Afueni sipati ninaishilia Weka hisabati na kukotoa Ila jibu sipati nandomepotea Japo nafsi inapinga ngumu yako kaulii Sikubali kushindwa ndani nyingi dosari Kila siku kunipa kuniona fedhuli mimi Fedhuli mimi, mapenzi Mapenzi hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mazao yameungua My baby, hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mmazao yameungua Heri imogizani (nitabaki kongoro) Sioni sababu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo unilizee (nitabaki kongoro) Sioni sababuu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo uniuliziee Eeeheeh, noooo, eeeh...
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse