ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Hazipo
par
Nandy
Regreso
Letra
Yeah aah aah aahaah mmh Uzuri wako mashallah na macho yako ndo balaa Sauti yako noma sana na mwendo wako ndo balaa Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Me hazipo Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Akili me hazipo bwana Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Ayaaah aaaah eeeh yeeee iyeye iyeye Stimu nyingi kichwani akili zangu baba aaah aaah Sijitamani nifikirie sana aaaah Usinipe maruani me moyo utaamaa na mashetani yanapenda kwa manaa aaah Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Me hazipo Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Akili me hazipo bwana Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo Jaribu kuwa smart nipe mahabati tu japo kidogo Oooh mie wazimu baba kichwani mwangu mwenzio hazipo Mwenzio mie hazipo Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Akili me hazipo bwana Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo ooh yeah Hazipo ooh yeah Hazipo ooh oh wee
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse