ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Acha Lizame
par
Nandy
Featuring(s) : Harmonize
Regreso
Letra
Nirusuru chuku chuku Ni sasa umole Mi naning’inia Kwa marati nipopoe Niruchu nipe tena baba niue Mi nakuzimia Usizingue unisumbue wewe Mapenzi yetu Ni ya mimi na wewe tu Usiskize watu Wananyongwa mbaya (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Basi nifanyie kitu na boxy Usiku nipe shoti Ama ishike magoti Nilemshe mkomboti Ooh ah mi mwenzako imeshanikolea My baby boy Ooh ukienda zako mi nitanyong’onyea Ooh ah mi mwenzako imeshanikolea My baby boy Ooh ukienda zako mi nitanyong’onyea (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Acha lizame Me ndio napendaga giza giza kama ujanizoea Acha jua lizame Pana raha ya kuingiza ujue inapotokea Acha lizame Unapenda vya giza giza kama ujanizoea Acha jua lizame eeh Mama unafanya tembo Kutwa nadindisha mkonga We ndo kiboko ya warembo Wale wanaojipitisha kitonga Penye dhiki na shuruba Mikeko ndo ulinikumbata Piki piki upande Ubber Popote nilipo ukanifwata Lakini bado wananiita mzugaji, nilingojea Usingizi hata yako mahitaji, nilingojea Sina biashara mtaji, nilingojea Ulisema mola ndo mpaaji, nilingojea Ooooh bana nipande tumwage mbolea Baby oh uh oh ah Ukitaka tena tutaendelea Oh oh ooh shamba mwaga maji nimwage mbolea My baby oh uh oh ah Ukitaka tena tutaendelea Acha lizame Me ndio napendaga giza giza kama ujanizoea Acha jua lizame Pana raha ya kuingiza ujue inapotokea Acha lizame Unapenda vya giza giza kama ujanizoea Acha jua lizame eeh Whine nimekuuliza Bora ningejitengea oh nana Me ndio napendaga giza giza kama ujanizoea Pana raha ya kuingiza ujue inapotokea Unapenda vya giza giza kama ujanizoea Asa whine nimekuuliza Bora ningejitengea Konde Boy
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse