SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Naringa
by
Zuchu
Back
Lyrics
Sing mmmhh eeeehh Let sing, comeon eeh Sioni aibu, kwa kila linalonifika Mana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguuki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachooki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwakwe kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba navimba navimba navimba navimba Nalindwa na mungu Raise your glass Cheers to the Lord Roho mbaya ubinafsi hajaumbiwa nyungunyungu Wala mtu mwenye maarifa Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu Mtayasema nikifa aaeh Unaniona napamdana, kwa tabu na dhoruba Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng'o Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa rohoo He Na sianguuuki mimi nimechaguliwa aahh Nnae mtegemea hachooki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwakwe kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba navimba navimba navimba navimba Nalindwa na mungu
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register