SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Mauzauza
by
Zuchu
Back
Lyrics
Funua usijipe mapana Eti mwili kujitutumusha Nitakutawanya Ka bahari na fimbo ya Musa Umejigeuza soji Si wa Corolla wala Vogi Na hilo wala kufoji Eti lina kupa kodi Oooh leo nikome Mwenye kiranga (Mwenye kiranga) Hujalijua vizuri litimbwi ni la vanga (Mwenye kiranga) Oooh leo boda umeyabana ka (Mwenye kiranga) Mi maskini jeuri sitegemei madanga (Mwenye kiranga) Mauza uza we mwana mauzauza Si wamekushindwa kwenu zalimwengu tutakufunza Mauza uza we mwana mauzauza Si wamekushindwa kwenu walimwengu tutakufunza Unani ni kichwa cha chikichi Umevaa kinu unatwangia mchi aah Mwali kigego mwenye nyota ya mitara Hivi kungwi wako nani wewe? (Atajijua) Uso mitego imedoda biashara Hueleweki si kunguru si mwewe Wadala ubaki dala mwenzio mimi kibunja Haufai kwa kafara si puzi wewe ni punja Umejivesha ubezezi kwa mapana na marefu Uso na kazi si wa ndala wala peku Ooooh ondoa ndo mlezi wa hana We ebu ndege zoa zoa' Mwali pengo binti mwanya Tuchunge kwa kudonyoa Oooh leo nikome Mwenye kiranga (Mwenye kiranga) Hujalijua vizuri litimbwi ni la vanga (Mwenye kiranga) Oooh leo boda umeyabana ka (Mwenye kiranga) Mi maskini jeuri sitegemei madanga (Mwenye kiranga) Mauza uza we mwana mauzauza Si wamekushindwa kwenu walimwengu tutakufunza Mauza uza we mwana mauzauza Si wamekushindwa kwenu walimwengu tutakufunza (Hahaa kuvaa dera si kazi, kazi kulikamatia eeh) Utayaweza yangu, yako yanakushinda Utayaweza yangu, yako yanakushinda (Ooooh tikisa ndole) Utayaweza yangu, yako yanakushinda (Uso kasi mwana wako) Utayaweza yangu, yako yanakushinda (Oooh nadilidadi) Utayaweza yangu, yako yanakushinda (Usonoga kwa chumvi wala magadi) Utayaweza yangu, yako yanakushinda
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register