SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Ashua
by
Zuchu
Featuring(s) : Mbosso
Back
Lyrics
Aaah aah, naa aaah ooh Mocco Marahaba, marahaba habibi Dunda kwa mama ngala kupachua Oooh, mahaba, mahaba yamzidi Kindi muchanga chaku chachua Mmmh, tamu zaituni, tunda la peponi nalila (Nalila) Game ya sakafuni, tunadundisha na kipira (Kipira) Napewa penzi sabuni, linalonitakasa madhira Huniita hunny hayuni, mkali wa tatu bila (Bila) Upepo wa pwani, umenipeleka bara Niongoze usukani kwenye penzi barabara Wakati wako tamba Ashua he, ashua ashu, ashua Okey beiby jishongondoe Ashua he, ashua ashu he, ashua Na roho zao ziwaume Ashua ashua ashu ashua Lololo lolololo Ashua he, ashua ashu he, ashua Tuwachome mapaka shume Ooooh ooh ooh ooh ooh Kweli, mambo mazuri, hayataki haraka ooh, haraka ooh mmh Kwa dua nimesubiri, nimepewa nilichotaka ooh, nilichotaka oooh mmh Penzi linaninogesha (Noga) Nampa mchicha ale (Noga) Vinono vya kunenepesha (Noga) Sambusa ya nyama tele (Noga) Kisha namchangamsha (Noga) Namchezea segere (Noga) Mwali kujineng'emsha (Noga) Huku napiga kelele (Aaah aah aah) Upepo wa pwani, umenipeleka bara Wewe wangu usukani, kwenye penzi barabara Wakati wako tamba Ashua he, ashua ashu, ashua Okey beiby jishongondoe Ashua he, ashua ashu he, ashua Na roho zao ziwaume Ashua ashua ashu ashua Lololo lolololo Ashua he, ashua ashu he, ashua Wakikuuliza mbona huonekani Tunacheza solo na zumari ndani Kuingiza kete shimoni Tunacheza solo na zumari ndani Makopa kopa kwa malavidavi Tunacheza solo na zumari ndani Michezo ya karata kulambishwa mavi Tunacheza solo na zumari ndani
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register