SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
NITONGOZE
by
Rayvanny
Featuring(s) : Diamond Platnumz
Back
Lyrics
Weka shida chini glass juu Tujipongeze usijali wanafki wambea Chapa mziki wote tucheze Enh Vanny Boy (Chui) Eh Platnumz (S2kizzy baby) Ah maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!?) Hiyo shingapi, hii shingapi, hauna hela nini (Eeti!?) Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!?) Ile shingapi, hili shingapi, hauna hela nini Nimeachwa staki tena maswali Naenda beach kula upepo wa bahari Naumwagilia moyo mziki kwa mbali Jimbo liko wazi sema nitakubali Ati unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Oh-za Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) E bwana wee! Hela ya kooodi nainywea pombe Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde Na kama hayanogi mapenzi usikonde Akiringa akwende, chukua mwingine, sio kinyonge Osh yu kwapii? Enh yu kwapii huyo? (basi nitongoze) Yu kwapii? Yu kwapii huyo? (basi nitongoze) Yu kwapii? Yu kwapii huyo? (basi nitongoze) Yu kwapii? Yu kwapii huyo? (basi nitongoze) Nimeachwa staki tena maswali Naenda beach kula upepo wa bahari Naumwagilia moyo mziki kwa mbali Jimbo liko wazi sema nitakubali Ati unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) E bwana wee! Zombiieee Onyesha boxer ash tuone boxer aosh Nyanyua shati ingia kati tuone boxer Onyesha boxer ash tuone boxer aosh Nyanyua shati ingia kati tuone boxer
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register