SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Miss Buza
by
Rayvanny
Featuring(s) : Dulla Makabila
Back
Lyrics
Huyo miss buza Mama miss buza Jamani miss buza Nampenda miss buza Huyo miss buza Mama miss buza Jamani miss buza Nampenda miss buza Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchoma Harufu yake ya wigi unapata Corona Hee kikipigwa kigodoro lazima utmuona Shughuli hajaalikwa, kijola ka shashola Ila chumbani si gogo mwali Mbuzi kagoma kifo cha mende chali Uvunguni sakafu juu ya dari Ua mtoto anaupaka asali mama Akiona simu anapita nayo Eh, akiona walleti anapita nayo eh, akiona dundo kali anapita nayo Yaani akiona begi kali anapita nayo Ana msitu kwapani dala kifuani Kwenye dala dala anapita dirishani Ghetto anazima taa, vipele mapajani Ana dera jipya, chupi la zamani Ah yo yo yo Huyo miss buza Mama miss buza Jamani miss buza Nampenda miss buza Huyo miss buza Mama miss buza Jamani miss buza Nampenda miss buza Haya kelele ya kwanza kwa missi yake, weh Kelele ya pili kwa missi yake, weh, weh Kelele ya tatu kwa missi yake, weh, weh, weh weh Mtoto anachu chu, anachuchumia Ana chu chu, mpaka nguo anavua Mtoto anachu chu, anachuchumia Ana chu chu, mpaka nguo anavua Akivua shati muache, muache Ameamua muache, muache Akivua shati muache, muache Ameamua muache, muache Katikati nataka loshindikana katikati nataka chura nyembamba Mwanangu katikati nataka loshindikana kati kati nataka chura nyembamba Basi twende tunaenda kushoto Wanangu kushoto, wahuni kushoto, Masisela Turudi ulia, wanangu kulia Masela kulia, wanangu Basi twende tunaenda kushoto Eh kushoto, wanangu kushoto, iii kushoto Basi twende tunaenda Kulia Wanangu kulia, ati, ati, ati, ati, ati,ati Basi tuende teremka, we wanagu teremka Teremka shika mabega teremka Bwana teremka, masisela teremka Teremka shika kiuno teremka We wanangu teremka, mama teremka Teremka shika magoti teremka Basi tuende nioneshe unavyochumaga mchicha tembele Nioneshe unavyochumaga mchicha Mama nioneshe unavyochumaga mchicha tembele Nioneshe unavyochumaga mchicha Oya tuende kqmq unalo tingisha We mama tingisha, tuone tingisha we dada tingisha Kama unalo tingisha, we mama tingisha Tuone tingisha, we dada tingisha Kama unalo tingisha we mama tingisha Tuone tingisha we dada tingisha Basi tuende shosho we nioneshe sho Style gani unacheza kidalipo We mwanangu shosho we nioneshe sho Style gani unacheza kidalipo Basi tuende kibaikoko we mtoto Miguu juu ning'inia kama popo Kibaikoko we mtoto Miguu juu ning'inia kama popo Na ka chini unakwendaa unakwendaa unakwendaa Shika magoti unashukaa unashukaa unashukaa Na ka chini unakwendaa unakwendaa unakwendaa Shika magoti unashukaa unashukaa unashukaa Basi tuende timua vumbi timua shemeji atafua Timua vumbi timua shemeji atafua Bwana timua vumbi timua shemeji atafua Timua vumbi timua shemeji atafua ....
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register