SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Magufuli Jembe
by
Rayvanny
Back
Lyrics
Jembe Jembe Jembe Jembe Jembe Jembe Tanzania ya leo inapendeza Sababu ya Magufuli Nidhamu kwa watumishi wa umma Twahudumiwa vizuri Rushwa imekomeshwa sio kama zamani Siku hizi hata vigogo wanafikishwa mahakamani Fikra nzuri za baba wa taifa kaendeleza hadi leo Asilimia arobaini ya mapato kwa maendeleo (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Mtu wa msimamo mataifa mengi yamekoma Mikopo isio na tija na miradi feki amekoma Alisema imekuwa sirikali sasa ipo Dodoma Kajenga ikulu cha mwino na kaipiga teke Corona Aya flyover TAZARA Ubungo, Ndio! Standard gauge je? Ndio Hospitali na zahanati? Ndio Shule bure kwa wanafunzi? Ndio Magufuli jembe Linalima, linalima lima linalima Magufuli jembe letu Linalima, linalima lima linalima (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); CCM jembe Linalima, linalima lima linalima CCM jembe letu Linalima, linalima linalima Taifa nzima linamuombea mema Magufuli Wakulima kawapigania walipwe vizuri Wamachinga, wanampenda Madereva, Wanampenda Mama ntilie, wanampenda Hadi watoto, wanampenda Kina mama, wanampenda Vijana na wazee, wanampenda Hadi hadi wapinzani, wanampenda Japo wanavunga, wanampenda Haya maji na umeme hadi vijijini, Ndio! Nidhamu serikalini, Ndio Mambo nimetukwa toka juu hakuna, Ndio Ndege kama zote, Ndio Magufuli jembe Linalima, linalima lima linalima Magufuli jembe letu Linalima, linalima lima linalima CCM jembe Linalima, linalima lima linalima CCM jembe letu Linalima, linalima linalima Haya twende Pasha, pasha Pasha, pasha pasha Kina mama pasha, pasha Pasha mikono pasha Kina baba pasha, pasha Pasha pasha pasha Twendee Magufuli, choma Mama Samia, choma Kassim Majaliwa, choma Hadi mangula, choma Haya twende pole pole, piga makofi Mashiruali piga makofi Dr Sheni piga makofi Wigulu Chemba piga makofi Makonda mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia Kibakwala mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia Mavunde mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia Tatulia mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia Peperusha bendera, aah bendera, madiwani wote Peperusha bendera, aah bendera, wabunge wote Peperusha bendera, aah bendera, kina mama wote Peperusha bendera, aah bendera, CCM Peperusha bendera, aah bendera
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register