SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Lala
by
Rayvanny
Featuring(s) : Jux
Back
Lyrics
Lala la, lala lala Lala la, lala lala (It's S2kizzy Beiby) Nawaza usingetokea ningeongea nini leo? (Aah) Bila ya penzi lako ningeenjoy nini leo? (Aah) Imekuwa bora alivyopotea ukatokea wewe leo Tena bila huruma yako ningetamba wapi leo? (Aah) Kwenye baridi Nikukumbate upate joto Twende kwa bibi Atupe baraka tuzae watoto Ngozi laini mtoto soap soap Tumbo la kuvalia crop top Vanessa wa nini? we don't talk talk Sitaki shobo nisha block block (Iyee) Lala la, lala lala Lala kifuani mmh Lala la, lala lala Kichuna lala usinzie Lala la, lala lala Nibembeleze nikuimbie Lala la, lala lala La la la..la la la Nikimuita sukari ananiita asali Lamba lamba pipi Kuku mwenye kidari, shepu ngangari La kuvunja kiti Fundi fundi kamba Za upendo wake kunibeba kwenda juu Wakimponda saa Hawajui ndo nazidi kumpenda tu Usiku kwenye kimvua mvua, tukivua vua Sema hata ajilaze kwenye kifua Unanijua jua, nakujua jua Masaji ya mafuta nikikuchua Ngozi laini mtoto soap soap Tumbo la kuvalia crop top Fahima wa nini? we don't talk talk Sitaki shobo nisha block block Lala la, lala lala Lala kifuani mmh Lala la, lala lala Kichuna lala usinzie Lala la, lala lala Nibembeleze nikuimbie Lala la, lala lala La la la..la la la Lala la, lala lala Lala kifuani mmh Lala la, lala lala Kichuna lala usinzie Lala la, lala lala Nibembeleze nikuimbie Lala la, lala lala La la la..la la la (Wasafi)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register