SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
kifo (Magufuli)
by
Rayvanny
Back
Lyrics
Kifo kifo kifo Kifo kifo kifo Nuru imepotea mbele hatuoni kiza Kila kona machozi masikitiko Mmh nafsi zanyongo'onyea Huzuni moyoni unaumiza Kitabu kizuri ndo kurasa ya mwisho Vizuri havidumu Nenda Magufuli umetimiza majukumu baba Vizuri havidumu Nenda jembe letu Kuwacha mabarabara mahospitali Wananchi ulivyowajali Masikini kila hali Magufuli wetu Upendo kwa wasanii kila mahali Ulifurahi nasi ukatujali Zile kofia kumbukumbu Umefunga safari Magufuli wetu Kina mama watafutwa na nani machozi Wafungwa ulowasameheatawafuta nani machozi Na vijana watatufuta nani machozi Wazee wazee watawafuta nani machozi Umeacha alama kumbukumbu isofutika Pengo lako Magufuli sidhani kama litazibika Moyo unalalama sisi bado twahuzunika Umefanya kazi ngumu juu jaa Basi nenda kupumzika jembe letu Kifo kifo kifo Kifo kifo kifo Kifo kifo kifo Kifo kifo kifo (Hauna huruma) (Kwa nini kifo) Machozi ya mama Samia yatafutwa na nani? Machozi ya Kassim Majaliwa atayafuta na nani? Machozi ya Bashiru atayafuta na nani? Machozi ya Polepole atayafuta na nani Machozi ya Kassim Majaliwa atayafuta na nani? Machozi ya Watanzania atayafuta na nani?
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register