SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Tekenya
by
Lava Lava
Featuring(s) : Rayvanny
Back
Lyrics
It's lava again tekenya kameni tekenya S2Kizzy baby Maximizer Kameni tekenya tekenya Kameni tekenya tekenya katoto Kani tekenya tekenya katoto Kameni tekenya tekenya katoto Kameni tekenya kameni gusa kunako (ehh kunako) Kani tekenya kameni pofua macho (ehh macho) Kana fanya makusudi kama hakataki pipi (doni) kana fanya nakwenda rudi, boda boda pikipiki (torori rori) Kani tekenya kanipandisha midadi Nikimuona biki hazikaki Kani tekenya moyo mpasuko radi mapigo mkio kila ya idadi Kani tekenya shepu lake la nicki minaj Mtoto ananimalizia mtaji Kani tekeny akili kwake hazichaji Natapa tapa kama mfa maji Teke tekenya (tekenya) Kani teke tekenya (tekenya) Ameni shika kwenye paja (tekenya) Namtajataja (tekenya) Teke tekenya (tekenya) Kani teke tekenya (tekenya) Ameni gusa kwenye kwapa (tekenya) Yaani mara huku mara hapa (tekenya) Kameni tekenya tekenya katoto Kameni tekenya tekenya katoto Kani tekenya tekenya katoto (Vanny boy) Kameni tekenya tekenya katoto Nikika tekenya Kana tekenyeka Yaani (hun hun hun) Kana cheka cheka kameni tekenya kana vyotetemsha Wami kitoukam ssekenke nasereleka Tekenya! Mikono juu ka nina mabawa Tekenya! Upepo sukuma ngalawa Tekenya! ukizungusha mama napagawa Tekenya! hadi birika lamwaga kahawa Ukikatika kigugumizi Masai kanipa dawa nishatafuna mizizi Wanidatisha kichizi chizi Yaani natap tap nashindwa kupiga mbizi Pinda mgongo, ukunje mikono Twende taratibu kama konokono Kukuki shingo, shingo kukuki shingo Kama mbuzi kagoma kwenda Kukuki shingo, shingo kukuki shingo Kizombi ninatoka milenda (Kani tekenya) Teke tekenya (tekenya) Kani teke tekenya (tekenya) Ameni shika kwenye paja (tekenya) Namtajataja (tekenya) Teke tekenya (tekenya) Kani teke tekenya (tekenya) Ameni gusa kwenye kwapa (tekenya) Yaani mara huku mara hapa (tekenya) Pinda mgongo, kishingo weka juu Kunja na mikono kama kangaroo Kukuki shingo, shingo kukuki shingo Kama umejinyonga unaninguinia Kukuki shingo, shingo kukuki shingo Fanya unaibuka unazamia Kukuki shingo, shingo kukuki shingo Paramia ukuta chungulia Kukuki shingo, shingo kukuki shingo Yaani nyatu nyatu nanyatia Ayolizer
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register