SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Desh Desh
by
Lava Lava
Back
Lyrics
Mola kamuumba Hana mfano weee Mzuri w asura na roho Na njema tabia iyaaa Unyagoni kafundwa Kwa makungwi somo weee Mahaba kayajaza ndoo Yananimwagikia iyaaa Natamani nimtaje hata jina ila naficha naficha Naifanya siri yangu Kina fulani wale wakusigina mkaleta mapicha mapicha Akatoroka ndege wangu Si mrefu si mufupi (ah eh) Si mweupe si mweusi (ah eh) Rangi yake ni ya katikati Kasima kwangu afurukuti (ah eh) Kwengine anaogopa nuksi (ah eh) Mi ni wake milele haniachi ndo maana Nampenda mpenda (nani) Kijana mmoja (nani) Amenifika kwa roho makopakopa (kopa) Nampenda mpenda (nani) Kijana mmoja (nani) Ila kumtaja ooh naogopa ogopa kwa jina namuhifadhi Desh desh, desh desh Msije kuninyakulia Desh desh, desh desh Kipenzi change jamani Desh desh , desh desh Mkaja kuniharibia Desh desh, deeesh Penzi likawa mashakani Nananaa nna nna Nananaa nna nna Nananaa nna nna Najua najua Roho zinawauma Hampendi kuona Mwenzenu na nawiri Najua mwenzenu najua Mwakesha kujituma Kutwa kwa masangoma Yangu kuyatabiri Mlosema nimeachika Hainifiki mikosi Mola ndo mpaji, nyongo mtazitapika Mchomwe jua la utosi kesheni kunijani Mwenzenu kila kukicha, kabla kupewa misosi Masaji masaji tunavyowakasirisha Yani hata tukiposti hataki nimtag Enhe si mtu wamagazeti Wala page za udaku ilo mkae mjue Hataki taki eenhe Mambo yake siri nyeti Poleni washakunaku Wala msijisumbue kumsachi sachi Nampenda mpenda (nani) Kijana mmoja (nani) Amenifika kwa roho makopakopa (kopa) Nampenda mpenda (nani) Kijana mmoja (nani) Ila kumtaja ooh naogopa ogopa kwa jina namuhifadhi Desh desh, desh desh Msije kuninyakulia Desh desh, desh desh Kipenzi change jamani Desh desh , desh desh Mkaja kuniharibia Desh desh, deeesh Penzi likawa mashakani Nananaa nna nna Nananaa nna nna Nananaa nna nna
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register