SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Wanguvu
by
Khaligraph Jones
Back
Lyrics
Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii) Madem ni sare tunabeba for free (Oh for free) Maboy wang'are kaa huja tripa huingii Vee kuko shwari imebidi wameti Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru) Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu) Mali safi peng' lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu) Wa nguvu, juu mi ni msee wa nguvu(Wanguvu) Mi ndo huletanga vurugu (Vurugu) Na vile nawaroga chama ni juju S'jai kua mnyonge mimi ni sugu Na case hujaijua Omolo na Kiba uwanga mandugu (Jones) Niko na pesa na show mi nalipwa mita na nusu Compen pressure bado unajua wa***ipwa marupu Mashawry wameweza watoto bha kenya wote ni wasupu Bado tuko bongo na lazima mi nitapita na mtu Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii) Madem ni sare tunabeba for free (Oh for free) Maboy wang'are kaa huja tripa huingii Vee kuko shwari imebidi wameti Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru) Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu) Mali safi peng' lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu) Wa nguvu, juu mi ni msee wa nguvu(Wanguvu) Chap chap, money chap chap now You carе me more, you make it clap clap clap Na umеnivalia, guch ya gistrii Girl I'm not yours to that you kill me (Ayy) Now sasa tupa (Tupa) Kiuno tupa (Tupa) Show them you can tupa (Tupa) Kiuno tupa (Tupa) Girl unanibamba sana Oh my girl unanibamba sana Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii) Madem ni sare tunabeba for free (Oh for free) Maboy wang'are kaa huja tripa huingii Vee kuko shwari imebidi wameti Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru) Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu) Mali safi peng' lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu) Wa nguvu, juu mi ni msee wa nguvu(Wanguvu) Ah, mi ni msee wa nguvu, msee wa power Ndo kuwe dis ai piga tei na dawa? (Ati tei na dawa?) Yay, dawa na tei Makarao kwa milango battle wana say Wanataka kujua kama natumianga madrei Lead kila siku ni ka nimepandanga bei Nipate zaba juu ya shisha mitishamba napraise Na kila siku ni mazishi mi hulala kwa grave Nilikuwa na Kiba tuko pande za Dodoma tunanice kwa sherehe tunamalizia Dar-Es-Salaam Mali safi ka ni safi hakuna haja ya intro Najitokeza nikisema, "habari madam" Anataka kujua ka nimejipin mi nasema, "yes bwana" Na si eti nimekali magan Anajua kunifanya ile kitu Na kila mi hutaka kwenda yufanya kalia koo Niko na gari nabebesha madrii (Oh madrii) Madem ni sare tunabeba for free (Oh for free) Maboy wang'are kaa huja tripa huingii Vee kuko shwari imebidi wameti Kaa zimekunice basi upige manduru (Manduru) Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu) Mali safi peng' lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu) Wa nguvu, juu mi ni msee wa nguvu(Wanguvu)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register