SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Ndovu Ni Kuu
by
Khaligraph Jones
Back
Lyrics
Ndovu ni kuu (OG) Na itabidi wanijue, ah ah ah Basi weka mkono juu, ah ah ah Juu… Ey vile na bambam polisi wana ubaya Dame yako vile mahanjam na mi sina ubaya Kosea uniite handsome husikii hizo ni hekaya Felicia na lisa, hivo ndo mi niliwa acquire Cheki! Tulikuwa na pamela shule moja ndani ya kwaya Siku hizi vile anameza mara moja utagwaya Na ananiringia sana flat tummy hana taya Ako na kila kitu kitu hanaga ni haya Mtoto wangu akiitwa KU ntakataa Hakunaga masomo KU nimekataa Unapeleka mtoi first year introduction Baada ya wiki mbili ashajua reproduction Ndovu ni kuu, ah ah ah ah Na itabidi wanijue, ah ah ah Basi weka mkono juu, ah ah ah Yes you, ah ah ah, you Ndovu ni kuu, ah ah ah ah Na itabidi wanijue, ah ah ah Basi weka mkono juu, ah ah ah Yes you, ah ah ah Yeah! napull up na gari ya color green ka nafanyanga safcom Luku kasuku lakini kombato ni custom Peng analia mi hupenda venye unarap Jones Na ju sitaki corona girl please put your mask on Nekwendete pamela umeza ka tembе Anapenda lollipop analamba ka peremеnde Lazima akuwe mkamba jina ya pili ni Mwende Mi nasikia madem wakamba wanapenda makek– Kamecarry bumbum kanakaa kama Mariah Nakashow tunaenda London kumbe ni Othaya Nitakosaje kupenda tamtam na jina ya kwanza Brian Demu amakaa screen ya samsung so vidole ziko required Usichomee K.U hao mastude hupata PHD Utapatana nao Kilimani kama si Westie Social media ndio social studies So nowadays ukitaka kuthigitha we mwambie mkafanye GHC Wale wamesoma ndio sampuli ya Omollo G Ata reproduction pia si topic kwa biology Bora kuna chemistry Pamela kenje follow me Vile ndovu kubwa noma sana nyaka bwogo gi Sina marafiki sitaki mbogi iniscrew (Kwenda) Mnataka mrande kiasi ndio mnisue Hii city ya usherati tabia mbovu ni true Big up to Krispah washajua ndovu ni kuu, OG Uh uh uh, aki walai ushatujua Uh uh uh, basi weka mkono juu Uh uh uh, yes you, uh uh uh you Ndovu ni kuu, ah ah ah ah Na itabidi wanijue, ah ah ah Basi weka mkono juu, ah ah ah Yes you, ah ah ah, you Okay.. mbaibe Ashaniambia anapenda fom za kulengalenga Anakaa mlami but mlami amesoteka Nimezoea Njeri, Ndalu, na Violeta Nimezoea msupa akinirollia kavela Ati ana gorilla wall siwezi penya Unadai mate na uko fom za ketepa Ka huwezi buy hiyo drink si basi kwenda Mi nakupa kiss kwa Chris nakill your status Uh uh uh itabidi wanijue Uh uh uh basi weka mkono juu Uh uh yes you uh uh you Okay! I say Oh Manzi yangu hukuwanga sumu ey Either nimepagawa ni juju Mmmh c*cktail ya Maasai na Mkikuyu Ako na gap kwa meno na bado she can chew you Ooh ama ni lugha hainanga luku Kiswahili ninayo hadi kizungu Vile ameni bambam shiro, amamebong shumra taya And am bad man she loves Oh eh, full type zii kuweka kwa moods Ka vile champagne huserviwangwa nude Aii champagne huonja ka juice Mi hupiga ka Tusker ju Ndovu ni kuu, ah ah ah ah Na itabidi wanijue, ah ah ah Basi weka mkono juu, ah ah ah Yes you, you you
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register